Kwenye ukurasa huu utapata orodha ya dawa mbalimbali tunazoandaa kwa ajili ya matibabu, maelezo yake kwa kifupi na bei zake.
DAWA
Dawa zetu zote ni za kisunna na nyingi miongoni mwazo zimefanyia Visomo vya Ruqia ya kisheria.
Dawa muhimu kwa kusafisha mwili tokana na nuksi, mikosi na mabalaa.
Dawa hii ni maalumu kwa akina mama na vijana wakike kuanzia miaka 18, ni ya kupaka mwilini, baada ya kutumia dawa ile cleanse kwa kuoga, ndio utahitajika kutumia dawa hii.
Wasiliana nasi kupitia +255743898971 kwa Maelezo zaidi.