Matibabu ya kisheria, Dua mbalimbali na dawa za kisunna

Matibabu ya kisheria, Dua mbalimbali na dawa za kisunna

Karibu

Elimika

Fahamu hili.

Kusimama kuswali usiku, ni namna bora ya kuikinga nafsi na uchawi, basi simama kusali  sehemu katika usiku, Wala usiache, kwa sababu kwa kuacha kusimama usiku shetani humsaliti mwanadamu, na utakaposalitiwa na shetani utakuwa ni udongo wenye rutuba kwa uchawi kumea na kushamiri. 

Ibni Mas ud Allah amuwie radhi amesema: " kulitajwa mtu mbele ya mtu wa Allah swalallah alaihi wa salaam, akawaambia : hajaacha kulala mpaka asubuhi yaani ameamka asubuhi tu kwa ajili ya swala , hakusimama kuswali swala ya usiku, Mtume swalallah alaihi wa salaam Akasema: " shetani amemkojolea masikioni mwake." ( Abu Dawud 1/150)

Sa îd bin Mansûr amepokea kwa Ibn Umar Allah amuwie radhi: " Hakupambazukiwa mtu bila kuswali witiri, ispokuwa huamka na kichwani mwake muna kamba kiasi cha dhiraa sabini " ( Bukhari [3/25 Fat -hi.])

Allah subhannallah wa taallah, aliumba mbingu na ardhi na Kila kilichomo ndani yake

Allah subhannallah wa taallah, aliumba mbingu na ardhi na Kila kilichomo ndani yake

Allah ametoa maelezo ya uumbaji  wa binadamu kwenye Qur'an 

Katika aya kadhaa za Qur’an Tukufu, Mwenyezi Mungu ametaja uumbaji wa mtoto na hatua za mabadiliko mtoto. Ni kwa kuchunguza muujiza huu ambapo mtu anapenda bila kupinga, kumshukuru na kumtukuza Yeye, Mbora wa Waumbaji.

Katika Suratul-Mu’minun, aya ya 12 – 14, Yeye anasema:

وَلَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنْسَانَ مِنْ سُلَالَةٍ مِنْ طِينٍ {12}

ثُمَّ جَعَلْنَاهُ نُطْفَةً فِي قَرَارٍ مَكِينٍ {13}

ثُمَّ خَلَقْنَا النُّطْفَةَ عَلَقَةً فَخَلَقْنَا الْعَلَقَةَ مُضْغَةً فَخَلَقْنَا الْمُضْغَةَ

عِظَامًا فَكَسَوْنَا الْعِظَامَ لَحْمًا ثُمَّ أَنْشَأْنَاهُ خَلْقًا آخَرَ ۚ فَتَبَارَكَ اللَّهُ أَحْسَنُ الْخَالِقِينَ {14}

“Bila shaka tulimuumba mwanadamu kutokana na asli ya udongo. Kisha tukamuumba kwa tone la manii, lililowekwa katika makao yaliyohifadhika. Kisha tuliumba tone hilo kuwa pande la damu, na kukalifanya pande la damu hilo kuwa nyama, kisha tukalifanya pande hilo kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama, kisha tukamfanya kiumbe kingine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu, Mbora wa waumbaji.” (al-Mu’minun; 23: 12-14).

Katika aya hizo hapo juu, Mwenyezi Mungu Mtukufu anataja hatua 7 za uumbaji:

Hatua ya kwanza: Mwanadamu mwanzoni kabisa anaanza kama udongo; kwa maneno mengine, sehemu za udongo zisizo na uhai zinavyotunzwa kwenye mwili hai kwa njia ya chakula.

Hatua ya Pili: Chembehai inajizalisha yenyewe kwa njia ya manii; hivyo mwanadamu anatengenezwa katika mbegu (majimaji ya shahawa), na kuwekwa katika sehemu madhubuti ya kupumzika (tumbo la uzazi la mama).

Hatua ya Tatu: Mabadiliko ya kwanza katika ovari iliyorutubishwa ni ubadilishaji kwenye namna ya donge au mgando mzito wa damu, au bonge lililoning’inia.

Hatua ya Nne: Chembehai za zaigoti hukua kwa ugawanyikaji katika pingili; halafu donge hilo huanza taratibu kupata umbile katika kukua kwake kama kijusi (bonge la nyama).

Hatua ya Tano: Kutokea hapa inaanza mifupa.

Hatua ya Sita: Nyama sasa hukua juu ya mifupa, kama vinavyofanya viungo na mfumo wa neva.

Hatua ya Saba: Hadi hapo ukuaji wa mtoto wa binadamu ni kama ule wa mnyama. Hata hivyo, hatua muhimu sasa inachukuliwa na kile kijusi kinakuwa binadamu kamili. Huu ni ule upuliziaji wa roho ya Mwenyezi Mungu ndani yake. (huu unaweza kuwa sio muda maalum; bali unaweza kuwa sambamba na ule wa ukuaji wa kimwili).

Katika suala la uumbaji wa kijusi, inasimuliwa kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.): “Ile mbegu ndani ya tumbo la uzazi la mama inachukua siku arobaini kugeuka kuwa bonge, kisha baada ya siku arobaini linakuwa donge la nyama (kijusi); wakati mtoto anapofikia miezi minne, kwa amri ya Mwenyezi Mungu, Malaika wawili hukipa kile kijusi roho na kuainisha riziki, muda wa kuishi, matendo (Aamaal), ustawi na dhiki za mtoto huyo.1

Huenda ni kwa sababu hii kwamba imeshauriwa kwamba hususan baada ya siku ya arobaini ya kujamiiana,

Katika suala la uumbaji wa kijusi, inasimuliwa kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.): “Ile mbegu ndani ya tumbo la uzazi la mama inachukua siku arobaini kugeuka kuwa bonge, kisha baada ya siku arobaini linakuwa donge la nyama (kijusi); wakati mtoto anapofikia miezi minne, kwa amri ya Mwenyezi Mungu, Malaika wawili hukipa kile kijusi roho na kuainisha riziki, muda wa kuishi, matendo (Aamaal), ustawi na dhiki za mtoto huyo.

Huenda ni kwa sababu hii kwamba imeshauriwa kwamba hususan baada ya siku ya arobaini ya kujamiiana, mtu anapaswa kuwa muangalifu zaidi wakati anapoandaa chakula. Chakula hicho lazima kiwe kisafi kiroho (kisiwe najisi) na kiwe halali kwani hili litakuwa na athari juu ya mtoto huyo.

Imam as-Sadiq (a.s.) vilevile aliielezea hatua ya maendeleo ya uumbaji kama ifuatavyo: “Baada ya kukamilika viungo vya mwili vinavyohitajika, Mwenyezi Mungu anatuma Malaika wawili ambao wana kazi ya uundaji wa mtoto, na kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, wao huunda masikio na macho na viungo vyote vya ndani na vya nje vya mwili huo.”

Katika Dua ya Imam Husein ya Aarafat, anarejelea kwenye mfuatano wa uumbwaji na anajaribu kuzihesabu zile neema zilizotolewa na Mwenyezi Mungu Mtukufu katika namna ifuatayo:

“Umeniasilisha mimi kwa Rehma Zako

kabla sijawa kitu cha kukumbukwa

Umeniumba kwa udongo,

Kisha ukanipatia nafasi katika migongo ya baba zangu

Salama kutokana wasiwasi wa maangamizi na

matukio ya ajabu ya zama na miaka.

Nilibaki kuwa napita kutoka mgongo hadi tumbo kwa muda

Nisioukumbuka wa siku zilizopita

Na karne zilizokwishapita.

Katika upole Wako, neema na wema kwangu mimi,

hukunipeleka kwenye himaya ya viongozi wa ukafiri,

wale ambao walivunja ahadi Yako na

wakatangaza uongo kwa mitume Wako.

Bali ulinipeleka kwenye ule mwongozo

ambao ulikwishaamuliwa mapema kwa ajili yangu,

namna ulivyoniwepesishia na ulivyonilea.

Na kabla ya hapo ulikuwa na huruma juu yangu

kupitia ufanya mitindo Wako wa hisani na neema tele.

Ulianzisha uumbwaji wangu kutoka kwenye tone la manii

Lililomwagika na ukanifanya nikae kwenye utusitusi mara tatu

miongoni mwa nyama, damu na ngozi.

Hukunipa mimi kushuhudia kuumbwa kwangu,

wala hukuniaminisha mimi na lolote kati ya mambo yangu.

Kisha ukanituma duniani kwa ajili ya mwongozo

ambao ulikwisha kuamuliwa kwa ajili yangu,

kikamilifu na usioharibika.”

Imam Zainul-Abidiin (a.s.) katika du’a yake baada ya Sala ya usiku – Salatul-Lail ndani ya Sahifah Sajjadiah anakitaja hiki kipindi cha kushangaza cha kijusi na cha wakati wa kunyonya. Anamshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu na kuelezea mshangao wake juu ya jinsi Allah (s.w.t.). alivyoumba kiumbe kizuri kama hicho kutokana na mbegu chache.

“Ewe Mungu Wangu,

Umenifanya nishuke kama maji duni

kutoka kwenye viuno vyenye mifupa myembamba na njia finyu,

kwenda kwenye tumbo la uzazi linalosonga,

ambalo ulikuwa umelifunika kwa mastara;

Umenigeuza geuza kutoka hali hii hadi hali ile

mpaka ukanitengeneza kwenye umbo kamilifu

na ukaweka ndani yake viungo vya kimwili,

kama ulivyoeleza kwenye Kitabu Chako:

Kwanza tone,

kisha bonge,

kisha pande (la nyama),

kisha mifupa,

kisha ukaivisha mifupa kwa nyama,

kisha ukanitoa mimi kama kiumbe mwingine kama ulivyopenda.

Halafu pale nilipohitaji riziki Zako,

na nikawa siwezi kufanya lolote bila ya msaada wa neema Zako,

ulinichagulia kirutubisho kutoka kwenye neema ya chakula na vinywaji,

ambacho ulikiweka mikononi mwa mtumishi Wako,

ambaye kwenye tumbo lake ulinipa mimi mapumziko,

na kwenye makazi ambamo tumboni mwake Wewe ulinihifadhi mimi.

Kama ungeniaminisha mimi katika hatua zile, Ewe Mola Wangu,

kwenye bidii zangu au ungenisukuma kupata msaada

kwenye nguvu zangu mwenyewe

bidii ingeniondoka na nguvu zingechukuliwa mbali kabisa.

Hivyo umenilisha kupitia neema Zako

kwa chakula cha wale Wema na Wapole;

Umefanya hivyo kwa ajili yangu kwa fadhila kwangu

hadi kwenye hatua yangu hii ya sasa

Mimi siukosi wema Wako

wala fadhila Zako haziniweki mwenye kusubiri.

Bado pamoja na yote hayo,

imani yangu haijawa thabiti vyakutosha,

kwamba ningeweza kujikomboa mwenyewe

kwa kile ambacho kinapendelewa zaidi na Wewe.”5

Katika moja ya Hadith al-Qudsi, Mwenyezi Mungu Mtukufu anazungumza na wale wasio na shukurani na anasema: “Ewe mwanadamu! Hujanitendea Mimi haki! Niliufanya uzito wako kuwa mwepesi ndani ya tumbo la mama yako!

Baada ya hapo nilifanya njia ya kuzaliwa kwako kutoka kwenye sehemu finyu na ya giza kuwa laini (na inayovumilika). Pale ulipoweka mguu duniani nje ya tumbo hilo, niliona kwamba ulikuwa huna meno ya kulia chakula; niliweka matiti yaliyojaa maziwa katika kifua chenye joto cha mama (yako). Niliufanya moyo wa mama yako kuwa wenye huruma juu yako, na moyo wa baba yako wenye upendo, kiasi kwamba wanabeba uzito wa kukupa wewe chakula, na hawalali mpaka wahakikishe kwamba wewe umelala.

“Ewe mwana wa Adam! Fadhila zote hizi hazikuwa kwa sababu uliziom- ba kutoka Kwangu, wala kwamba Mimi nilikuhitaji wewe. Na pale hali ya uundwaji wako wa kimwili ilipokuwa tayari, na meno yako yakaota, nilik- ufanya ufurahie (na ufaidike) kutokana na aina tofauti za vyakula na matunda ya kiangazi na kipupwe.

Hata hivyo! Licha ya huruma zote hizi, baada ya kuwa hukunitambua Mimi (kama Muumba Wako na Mpaji Wako), ukaniasi Mimi.”

Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w.) amesema kwamba: “Pepo ya mtu iko chini ya nyayo za

mama yake.”

Mwenyezi Mungu Mtukufu anaeleza ndani ya Qur’ani Tukufu, katika Surat al-Faatir, aya ya 11 hivi:

وَمَا تَحْمِلُ مِنْ أُنْثَىٰ وَلَا تَضَعُ إِلَّا بِعِلْمِهِ ۚ {11}

“….. Na mwanamke yeyote hachukui mimba wala hazai ila kwa elimu Yake …..” (Surat Al-Faatir; 35:11).

Imesimuliwa pia kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.): “Kama imea- muliwa kwamba Mwenyezi Mungu atafanya Umenigeuza geuza kutoka hali hii hadi hali ile

mpaka ukanitengeneza kwenye umbo kamilifu
na ukaweka ndani yake viungo vya kimwili,
kama ulivyoeleza kwenye Kitabu Chako:
Kwanza tone,
kisha bonge,
kisha pande (la nyama),
kisha mifupa,
kisha ukaivisha mifupa kwa nyama,
kisha ukanitoa mimi kama kiumbe mwingine kama ulivyopenda.

Halafu pale nilipohitaji riziki Zako,
na nikawa siwezi kufanya lolote bila ya msaada wa neema Zako,
ulinichagulia kirutubisho kutoka kwenye neema ya chakula na vinywaji,
ambacho ulikiweka mikononi mwa mtumishi Wako,
ambaye kwenye tumbo lake ulinipa mimi mapumziko,
na kwenye makazi ambamo tumboni mwake Wewe ulinihifadhi mimi.

Kama ungeniaminisha mimi katika hatua zile, Ewe Mola Wangu,
kwenye bidii zangu au ungenisukuma kupata msaada
kwenye nguvu zangu mwenyewe
bidii ingeniondoka na nguvu zingechukuliwa mbali kabisa.

Hivyo umenilisha kupitia neema Zako
kwa chakula cha wale Wema na Wapole;
Umefanya hivyo kwa ajili yangu kwa fadhila kwangu
hadi kwenye hatua yangu hii ya sasa
Mimi siukosi wema Wako
wala fadhila Zako haziniweki mwenye kusubiri.

Bado pamoja na yote hayo,
imani yangu haijawa thabiti vyakutosha,
kwamba ningeweza kujikomboa mwenyewe
kwa kile ambacho kinapendelewa zaidi na Wewe.”

Katika moja ya Hadith al-Qudsi, Mwenyezi Mungu Mtukufu anazungumza na wale wasio na shukurani na anasema: “Ewe mwanadamu! Hujanitendea Mimi haki! Niliufanya uzito wako kuwa mwepesi ndani ya tumbo la mama yako!

Baada ya hapo nilifanya njia ya kuzaliwa kwako kutoka kwenye sehemu finyu na ya giza kuwa laini (na inayovumilika). Pale ulipoweka mguu duniani nje ya tumbo hilo, niliona kwamba ulikuwa huna meno ya kulia chakula; niliweka matiti yaliyojaa maziwa katika kifua chenye joto cha mama (yako). Niliufanya moyo wa mama yako kuwa wenye huruma juu yako, na moyo wa baba yako wenye upendo, kiasi kwamba wanabeba uzito wa kukupa wewe chakula, na hawalali mpaka wahakikishe kwamba wewe umelala.

“Ewe mwana wa Adam! Fadhila zote hizi hazikuwa kwa sababu uliziom- ba kutoka Kwangu, wala kwamba Mimi nilikuhitaji wewe. Na pale hali ya uundwaji wako wa kimwili ilipokuwa tayari, na meno yako yakaota, nilik- ufanya ufurahie (na ufaidike) kutokana na aina tofauti za vyakula na matunda ya kiangazi na kipupwe.

Hata hivyo! Licha ya huruma zote hizi, baada ya kuwa hukunitambua Mimi (kama Muumba Wako na Mpaji Wako), ukaniasi Mimi.”

Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w.) amesema kwamba: “Pepo ya mtu iko chini ya nyayo za
mama yake.”

Mwenyezi Mungu Mtukufu anaeleza ndani ya Qur’ani Tukufu, katika Surat al-Faatir, aya ya 11 hivi:

وَمَا تَحْمِلُ مِنْ أُنْثَىٰ وَلَا تَضَعُ إِلَّا بِعِلْمِهِ ۚ {11}

“….. Na mwanamke yeyote hachukui mimba wala hazai ila kwa elimu Yake …..” (Surat Al-Faatir; 35:11).

Imesimuliwa pia kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.): “Kama imea- muliwa kwamba Mwenyezi Mungu atafanyaUmenigeuza geuza kutoka hali hii hadi hali ile

“….. Na mwanamke yeyote hachukui mimba wala hazai ila kwa elimu Yake …..” (Surat Al-Faatir; 35:11)

Imesimuliwa pia kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.): “Kama imea- muliwa kwamba Mwenyezi Mungu atafanya, maelezo haya ni muhimu kwetu zote kutambua ya kwamba Allah muumbaji wa mbingu na ardhi na Kila kilichomo ndani yake ndiye muueza wa Kila kitu. .....inaendelea

Allah subhannallah wa taallah ametetemsha Qur'an tukufu ndani yake kuna baraka na neema nyingi, tujitahidi kujifunga kadiri tuwezavyo.

Allah subhannallah wa taallah ametetemsha Qur'an tukufu ndani yake kuna baraka na neema nyingi, tujitahidi kujifunga kadiri tuwezavyo.

Jilinde, jihifadhi na tafuta ufahamu

Assalam alaikum warahamatullah wabarakatuh

Ama kwa anuani ya ninachoenda kudokeza inaqeza isifahamike vyema, nitajitahidi kubainisha ili ifahamuke kwa urahisi, kqma kujilinda ni kutokana na nini, kujihifadhi  kwa kitu namna gani na kufahamu nini.

Nimshukuru Allah kwa kunipa nafasi hii kwa mara nyingine kukutana nawe, nashukuru Allah kwa kunijalia uwezo wa kupambanua na kutambua, lakini afya njema ya kutenda natumai hujambo na kama kuna hofu na magonjwa Allah akujalie uweze kupona.

Ama, kujilinda ni hatua bora zaidi ya kuwa salama muda wote,kujihifadhi nako ni njia bora zaidi ya kujilinda, kutafuta ufahamu ni njia bora zaidi ya kufanya yote mawili kwa ufanisi. Nisidumu sana kwenye mambo hayo matatu, maana itaweka fumbo kubwa. Zingatia ya fuatayo.

Somo hili tutaangalia moja kati ya mapepo yanayovamia wanadamu, na mpaka mtu huyu kuwa kwenye kadhia hii awali yake kuna hali inayosababisha majini kufanya mashambulizi, hivyo basi ni muhimu kujilinda kwa Allah subhannallah wa taallah dhidi ya viumbe hawa, awali tulieleza jinsi ya kujilinda na shari na madhila ya majini, wachawi na uchawi. Hivyo basi ni muhimu sasa kutafuta ufahamu na ujuzi wa nini ufanye ili uwe huru kutonaka na madhila ya viumbe hawa.

Tuangalie moja kati ya majini hawa,madhara, anamvamiaje mwanaadamu na jinsi ya kumuondoa kwenye mwili, awali pia tumeeleza mengi kuhusu uwepo wa majini tumetoa dalili za wazi kwenye Qur'an tukufu na Hadithi za mtume Muhammad swalallahu alaihi wa salaam, rejea moja kati ya machapisho yetu utapata maelezo ya kina kuhusu uwepo wa viumbe hawa.

Leo bi idhinillah tuangalie huyu jini Ashq 

Huyu anatajwa sana kwa kuwa kajiingiza sana kwenye maisha ya wanaadamu. Madhara yake ni mengi sana, lakini nikutokana na sisi binadamu kutokujilinda na kujihifadhi vyema kwa ukaidi, uvivu au kutokuwa na ufahamu juu ya jinsi ya kuwaepuka hawa.

Miongoni mwa madhara ya jini huyu ni kuvunja ndoa, na kusababisha mifarakano katika ndoa.

Zipo dalili zionyeshazo kwamba mtu amekumbwa na jini huyu.

- uvivu 

-Udhuru ( mf. Mwanamke akipata mchumba hataki kuolewa n.k)

Binti au mwanamke kumuona anayemchumbia  kwenye mandhari mbaya, kama vile sura mbaya, midomo iliyo pinda n.k

Kuwa na hasira, mke anaweza kumjibi mumewe maneno yasiyo faa, magumu na  matusi. 

Jini huyu ndiye anaye sababisha wenza hawa waishi bila kukosoana kwenye baadhi ya makosa ambayo Kwa sisi binadamu lazima yawepo, kwa sababu hii mwenza huamua kukaa kimya na kutazama maana akisema vurugu kubwa huamka, jini huyu ndiye anaye sababisha ili ampate vyema mtu huyu, kwa maana rahisi huzorotesha na kuvunja mahusiano baina ya mke na mume. 

Sababu ni zipi zinazopelekea jini huyu kumvaa binadamu.

Sababu ya kwanza nikutojilinda kwa Allah dhidi ya viumbe hawa, kutohifadhi udhu, kuacha swala, kutokufanya azkar za asubuhi na jioni.

Sababu nyingine, ni staili mbaya za maisha, kutokuwa na hofu ya Allah. Kukaa uchi muda mrefu na kujitazama kwenye vioo bila dua, kwenye majumba wapo mapepo waitwao Amir bait, hawa huchukuwa tabia za watu waishio kwenye majumba zetu. Kama mnafanya ibada na wao huiga hivyo, kama ni walevi na wao huwa walevi, kama ni waenda kusakata magoma na wao hivyo hivyo, huja badilika na kuwa majini Ashq baada ya watu kutembea uchi ndani ya nyumba na wao kuwatamani. Na Kisha kuanza kuwaingilia tena kama samaki anavyoliwa.

Jinsi ya kuondokana majini hawa na matatizo wanayosababisha.

La kwanza ni mja kuacha maisha ya hovyo yaliyopelekea kuvamiwa na mapepo haya.

La pili ni kudhamiria kwa kufuata maelekezo yanayoelekezwa kabla ya matibabu, wakati wa matibabu na baada ya matibabu. Matibabu ninayo eleza hapa ni ya msingi wa Qur'an na Sunna, na dawa za kisunna.

Namna ya kumtoa jini huyu 

Kumtoa jini huyu ni kazi ngumu sana. Lakini ieleweke kwamba ninaposema kumtoa namaanisha tiba, na tiba hii ni miongoni mwa tiba ngumu ila kwa matashi yake Allah ni rahisi. Sababu kubwa ni kwamba jini huyu kavutiwa na kitu kwa mwanadamu baada ya kumuona akiwa tuputupu, ieleweke pia majini haya Huwa hayatoki kwenye kiwiliwili mpaka wawe wametezwa nguvu kwa visomo na madawa ya kisunna au hata kuunguzwa kwa Aya maalum. Na nadra sana huondoka wenyewe baada ya kukinai kwa mwanamke husika au kufahamu anachofanya ni kinyume cha Sheria za Allah, au kuslimu na kutoka kwa kumtii Allah subhannahu wa taallah. Muhanga wa jini huyu inatakiwa asomewe Aya hizi zifuatazo 

* Suratul Bakara nzima.

* Suratul Yusufu Aya ya 23 - 43 

* Suratul Nnuri Aya ya 1-20

* Kisha zisomwe Aya za kumuunguza jini na kumuadhibu.

* Suratul Rahman nzima kwenye maji kisha mgonjwa anywe na kuoga maji hayo. In Sha Allah mgonjwa atapona.

Wasiliana nasi kama kutakuwa na kikwazo chochote kwenye utekelezaji wa tiba hii, (lakini yapo ya kuzingatia, ifahamike matibabu haya yanahitaji uchamungu maana yapo madhara kufanya aina hii ya tiba kwa mtu ambaye si mcha mungu)

Allah subhannahu wa taala amejalia Qur an kuwa rahma na ponyo

Allah subhannahu wa taala amejalia Qur an kuwa rahma na ponyo

Al Qur'an karim

Assalam alaikum warahamatullah wabarakatuh

Kuna nyakati kama sehemu ya ubinadamu tunakumbana na mambo ambayo Kwa upeo wetu ni mazito sana, na Allah akatujalia mtihani wa kuondoa watu wa kutusikiza au kusaidia kwa namna moja au nyingine.

Kwenye nyakati hizi inatakiwa kuongeza ibada, kudumu kwenye maghafira, kumswalia mtuwe, na kusoma Qur'an kwa wingi.

Lakini pia, Kwa jaala zake Allah akajalia Qur'an kuwa ni ponyo na rahma, basi tuihifadhi na tuisome mara kwa mara kwenye heri na nyakati za taharuki na mihangaiko, mbali na kusoma lakini pia nila lazim kwetu tujitahidi kuelewa maana ya Aya mbali mbali tunazosoma.

Fanya utaratibu huu kuondoa ghasia za nafsi, ugumu wa kipato, kupata kazi, maradhi, fedha, kesi. Soma suratul Yasin mara 41 kwenye kikao kimoja, Kwa jaala zake Allah subhannallah wa taallah hiyo shida hata iwe kubwa vipi itaondoka na hutakuwa na shida yoyote.

Masharti ya kuliendea hili.

Msomaji lazima awe msafi wa mwili na nafsi yake, mavazi na mahala pa kufanyia ibada hii lazima pawe safi, pasiwe na midoli wala mapicha Wala makelele ya watoto, na muziki.

Kwa ibada hii atoe sadaka kutoka kwenye chumo la halali.

Kusiwepo na uvunjifu wa Sheria, mfano mwanamke ambaye hajajisitiri na ako kwenye hedhi.

Wanao hudhuria wote wale twahara na wawe na udhu.

Lazima kuleta istighfaar kwa wingi kabla na baada ya ibada hii.

Baada ya ibada hii ni kuvuta subira. 

Wasiliana nasi endapo utapata ugumu kwenye kutekeleza hili, sisi tufanya kwa niaba yako kwa malipo kiasi.

Wabillah tawfiq. 

Ukwaju

Ukwaju

Faida za ukwaju

Assalam alaikum warahamatullah wabarakatuh.

Kwa rehma zake Allah subhannahu wa taallah tumebahatika miongoni mwa mengi huufahamu mti wa ukwaju faida zake  kadhaa wa kadha, kwa kifupi tunaelewa ladha yake ya uchachu. 

Baadhi yetu mbali na kufahamu tunda hili hutumika kutengenesa juice lakini pia tunaelewa lina virutubisho kadha wa kadha. Faida ya ukwaju ni nyingi kwenye mwili wa binadamu, tutaeleza kwa kifupi miongoni mwa faida za mti mti huu.

Majani ya mti huu, yanafaida mbili tatu hivi, miongoni mwa faida za majani ya mti wa ukwaju kama yataandaliwa vizuri husaidia kuzuia tatizo la homa za mara kwa mara, kuharisha damu na vidonda tumbo.

Majani ya mti huu yanapokaushwa vizuri kivulini, kisha yaka sagwa na kuwa unga, na kuchanganywa na mafuta ya nazi husaidia kuondoa aina fulani ya magonjwa ya ngozi na miwasho.

 Mchanganyiko huo hapo juu hutumika pia kusaidia kuondoa shida ya miguu kuuma, na kufa ganzi.

 Magome ya mti huu ni tiba ya matatizo kadhaa, hii inawezekana tu pale magome hayo yatakapoandaliwa kwa usahihi.

Kama magome haya yataandaliwa vyema husaidia kuwapa nafuu akina mama wajawazito wanaopata kifafa cha uzazi.

Pia magome haya husaidia akina mama wanaopata tatizo la kujifungua watoto ambao bahati mbaya wanakuwa wamefariki, husadia pia tatizo la kujifungua watoto kabla ya wakati au mimba kuharibika.

Matumizi ya juice ya ukwaju mara kwa mara husaidia sana kwenye tatizo la bawasiri. 

Hizi nifaida baadhi za mti wa ukwaju, wasiliana na nasi kwa maelezo zaidi.

Wabillah tawfiq.

Bawasir ikoo ya ndani na ya nje, zote huleta madhara kwa ustawi wa kimwili na kiroho kwa mwanadamu, njia Moja wapo ya kupunguza na kuondoa athari ya hali hii, ni kula vyakula halisi na kuepuka vyakula vya haraka na vilivyoandaliwa viwandani.

Bawasir

Assalam alaikum warahamatullah wabarakatuh.

Kwa jaalah zake mola leo tupate nyongeza kwenye ufahamu wetu kuhusu BAWASIRI au MGOLO.

Kunamaelezo mengi sana kuhususiana na shida hii, yote yanaweza kuwa sawa kwa kuwa Allah karimu ametoa elimu tofautitofauti ya jinsi ya kukabiliana na maradhi tofauti, hii kwa ufundi wake inatokana na jiografia ya eneo husika ambayo jamii husika inaishi na aina za mimea tiba inayopatikana huko.

Wengi miongoni mwetu wamekumbwa na tatizo hili kwa wakati mmoja au mwingine, na Kwa bahati mbaya sana, kutokana na jinsi hili tatizo lilivyo, watu wamekuwa wakihisi aibu au kusita kulielezea kwa wenzao, sababu ya msingi hakuna ila ni hofu tu, hili hupekea kuchelewa kupata matibabu.

Ziko sababu nyingi zinazopelekea shida hii, miongoni mwa sababu hizi ni kutokula kwa wakati, unywaji wa pombe,  ujauzito,  uzee, kuharisha muda mrefu, kupata choo kigumu, kunyanyua vitu vizito, uzito au unene kupitiliza, msongo wa mawazo, pamoja na mengine mengi kurithi kumeorodheshwa pia.

Njia nzuri ya kuliondoa tatizo hili ni pamoja na kurekebisha aina ya maisha mtu anayoishi, kula kwa wakati, kuepuka baadhi ya vyakula, kuacha pombe, kupunguza ulaji wa vyakula na unywaji wa vinywaji vyenye sukari kwa wingi,  kunywa maji kwa wingi, kula mboga za majani na kadhalika.

Dalili kubwa ni maumivu makali mno hii ni kwa wale ambao shida hii ni ya nje, hufikia hatua mtu akashindwa kukaa, kulala, kusimama, labda kuchutama, baadhi ya nyakati choo kuambatana na damu. Lakini pia kunakuwa na miwasho kwenye vein zinazoshika tundu la haja kubwa, vein hizo pia huviba na kufanya mtu kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia. Kuna wakati pia haja kubwa hutoka bila ya mtu kutambua.

Shida hii hupelekea mtu kuhisi dhiki, kero, kukosa kujiamini, upungufu wa damu mwilini, kupunguza uwezo wa kufanya kazi, hii inatokana na maumivu, kuathirika kisaikolojia, kupungua nguvu za kiume na kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.

Matibabu yanategemea na hali ya tatizo maana hufikia veins zilizovimba kupasuka kama mtu atazembea kutafuta matibabu, au kutofuata maelekezo ya kiafya juu ya jinsi ya kuondokana na shida hii. Wako wanaosema ni vigumu kuliondoa tatizo hili, lakini kwa kufuata maelezo ya wataalmu wa afya, ahueni hupatikana na tatizo hili likapotea au kuisha kabisa. Upasuaji unafanyika kwa baadhi ya watu, lakini ni vizuri kufuata masharti kadhaa wa kadha ili isifikie hatua ya upasuaji, maana sehemu shida hii ilipo kuna vimelea wengi ambao kama watapita kwenye kidonda bila shaka kuna athari ambazo mtu atapata. Kwa hiyo ni vyema mtu akafuata maelekezo ya kitabibu ili kuepuka kadhia hii.

Tuna namna bora ya kusaidia kukabiliana na shida hii, tafadhali usisite kuwasiliana nasi kama wewe ni muhanga wa shida hii, au una ndugu au jamaa mwenye shida hii,  muelekeze kwetu kupitia namba za simu au e- mail adreess. Namba zetu ziko hewani masaa yote siku nzima.

Wabillah tawfiq 

Swala za sunna

Assalam aleikum warahamatullah wabarakatuh. Natumai nyote ni wazima wa afya, ama kwa wale wenye mitihani mbalimbali tunawaombea kwa Allah wapate ahueni na kwa wenye maradhi basi wapate nafuu. Kwenye ukurasa huu wenye anuani ya "ELIMIKA" kadiri ya Allah atakavyo tutaangalia ibada ya swala za sunna, maana, faida, aina na utaratibu wa kuzitekeleza. Baada ya kusoma tutaelewa kwanini ibada ya swala ya sunna ni muhimu sana kwetu sisi watu wa Qur'an. Maana: swala ya sunna ni swala iliyowekwa na sheria isiyo na lazima. Fadhila za swala za sunna  Swala ya sunna ni sababu ya mja kupendwa na Mwenyezi Mungu, imekuja kwenye hadithi Alqudusiy kwamba, Mwenyezi Mungu aliyetukuka amesema: " Haachi mja wangu kuendelea kujikurubisha kwangu kwa sunna mpaka nimpende, na ninapopenda nitakuwa ni masikizi yake ya kusikia na mangalizi yake ya kuonea na mkono wake wa kushikia, na mguu wake wa kuendea, na akiniomba nitampa, na akijilinda kwangu nitamlinda. imepokelewa na Buhari   Swala ya sunna inaunga kadiri za swala ya faradhi. Mtume Muhammad swallallahu alaih wasalaam, amesema:(" kitu cha kwanza wanacho hesabiwa kwacho siku ya kijana miongoni mwa matendo ni swala. Mwenyezi Mungu aliyetukuka atawaambia malaika wake - na yeye ni mjuzi zaidi- "itizameni swala ya mja wangu, je amekamilisha au ameipunguza? Iwapo imekamilika inaandikwa kuwa imekamilika, ikiwa inaupungufu, Atasema, "Tizameni, je mja wangu wangu huyu anasunna alizoziswali?" Akiwa ana sunna, Atasema:"Mkamilishieni mja wangu faradhi yake kutoka kwa sunna zake"  - imepokelewa na Abu Daud  Aina ya swala za sunna Swala za sunna ziko aina nyingi, muhimu zaidi ni hizi zifuatazo.Kwanza: sunna za ratiba Aina hizi ya swala za sunna zinaambatana na swala za faradhi, aghalabu wengi miongoni mwetu hatufahamu kabisa kwa kuwa baadhi ya wasomi wetu hawajafanya jitihada kutuelimisha vyema. Swala hizi kwa jumla zina rakaa kumi na mbili.

- Rakaa mbili kabla ya Alfajiri.

- Rakaa mbili kabla ya Adhuhuri au nne na rakaa mbili baada yake.

- Rakaa mbili baada ya Magharibi.

- Rakaa mbili baada ya Isha.

Ibn

- imepokelewa na Buhari na Muslim 

Na imedhubutu hadithi 

Moja ya machapisho yanayohusu ibada ya Swala ya Ijumaa yanayotolewa kwa njia ya mtandao na alternative hub(Markaz_badil)

Moja ya machapisho yanayohusu ibada ya Swala ya Ijumaa yanayotolewa kwa njia ya mtandao na alternative hub(Markaz_badil)

FIQIH YA IBADA

Assalaam aleikum wa rahmatullah wabarakatuh, wa Swalatu wa salaam ala  sayyidina Muhammad wa alihi waswahabihi.

Ndugu zangu kwenye kirasa hii, panapo majaliwa ya Allah subhannah wa taalah, tutajifunza au kujikumbusha kwa kifupi tu, sheria mbalimbali zinazohusiana na ibada mbalmbali katika dini ya Uislam. Madhumuni ni kupata ujuzi sahihi wa utekelezaji wa ibada mbalimbali, kama Swala (faradhi na Sunna), Funga(Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Funga tofauti tofauti za Sunna), Tohara, nakadhalika.

Kwa kuanzia tutaanza kujifunza sheria sinazohusu Tohara.

X
This site uses cookies to offer you a better browsing experience.
You can accept them all, or choose the kinds of cookies you are happy to allow.
Privacy settings
Choose which cookies you wish to allow while you browse this website. Please note that some cookies cannot be turned off, because without them the website would not function.
Essential
To prevent spam this site uses Google Recaptcha in its contact forms.

This site may also use cookies for ecommerce and payment systems which are essential for the website to function properly.
Google Services
This site uses cookies from Google to access data such as the pages you visit and your IP address. Google services on this website may include:

- Google Maps
- Google Fonts
Data Driven
This site may use cookies to record visitor behavior, monitor ad conversions, and create audiences, including from:

- Google Analytics
- Google Ads conversion tracking
- Facebook (Meta Pixel)